#JE_WAJUA;KULALA MASAA MENGI NI CHANZO CHA UMASKINI.
Kulala masaa mengi ni chanzo cha umaskini.kwa mfano unalala saa 2 usiku unahamka saa 4 asubuhi.hapo muda mwingi unatumia kulala na kufanya kazi za maendeleo kwa muda mchache zaidi na kushindwaza.kufikia malengo yako.
2.kulala masaa mengi kusababisha uchovu wa mwili(uvivu)
3.kuna asilimia 75% za mwanadamu akilala masaa mengi anasababisha unene kumnyemelea.
4.kulala masaa mengi kunasabaisha baadhi ya mangonjwa kukunyemelea.
bofya link upata stori za kuvutia
https://youtu.be/Q1Rpc95zAWo
#ISHINAYO#KUWANAYO
#SUBSCRIBE_AOM
0 Comments